Mjumbe
wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (mwenye koti jeusi
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho
mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma
jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya
wasanii katika maboresho ya rasimu ya Katiba mpya.
Baadhi
ya viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini
wakibadilishana mawazo jana wakati walipofika kwenye eneo la Mkutano
Maalum wa Bunge Maalum kwa lengo la kuwaomba wajumbe wa mkutano huo
kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya Katiba
mpya.
Wajumbe
wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Ngonyani (kulia) na Dkt.
Hamis Kigwangalla (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na
viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi
hao walikuwa mjini Dodoma jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano
huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya Katiba
mpya. Picha na MAELEZO-Dodoma