TAKWIMU YA MAONI YA KATIBAMFAHAMU KUHUSU SERIKALI 3
Kupitia
ukurasa wake wa Facebook Mh. January Makamba amepost kuhusu sehemu ya
maoni ambayo amedai ni kwa mujibu wa kitabu cha takwimu za ukusanyaji
maoni ya katiba.
Kitabu hicho cha takwimu kimetolewa na Jaji Joseph Warioba ambae ni Mwenyekiti wa Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya.