Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea
mbele jopo la Marais wastaafu wa Afrika kuhusu linaloongozwa na Rais
Mstaafu wa Msumbiji Mhe Joaquim Chissano anayefuatana na Rais Mstaafu wa
Botswana Mhe Festus Mogae jana Novemba 25, 2013 Ikulu jijjini Dar es
salaam. Mhe. Chissano, ambaye ni mwenyekiti wa Jopo hilo pamoja na Mhe
Mogae, walifika Ikulu kusikiliza upande wa Tanzania kuhusu mgogoro wa
mpaka na nchi ya Malawi, baada ya kufanya hivyo hivi karibuni huko
Blantyre.
PICHA NA IKULU (P.T)