Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitia saini katika Kitabu cha maombolezo ya Kifo cha aliyewahi kuwa
mtangazaji wa Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud, marehemu
Julius Nyaisanga, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita huko
mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.
Marehemu Nyaisanya ameagwa leo katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni
na anasafirishwa leo hii kuelekea Tarime kwa ajili ya maziko. Picha
Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa
mtangazaji wa Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud, marehemu
Julius Nyaisanga, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita huko
mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.
Marehemu Nyaisanya ameagwa leo katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni
na anasafirishwa leo hii kuelekea Tarime kwa ajili ya maziko.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mfiwa Leah Nyaisanga, ambaye ni mke wa marehemu wa aliyewahi
kuwa mtangazaji wa Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud,
marehemu Julius Nyaisanga, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita
huko mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la
damu. Marehemu Nyaisanya ameagwa leo katika viwanja vya Leaders Club
Kinondoni na anasafirishwa leo hii kuelekea Tarime kwa ajili ya maziko.
Leah
Nyaisanga, ambaye ni mke wa marehemu wa aliyewahi kuwa mtangazaji wa
Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud, marehemu Julius
Nyaisanga, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu mumewe, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita huko
mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu,
wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya
Leaders Club Kinondoni na anasafirishwa leo hii kuelekea Tarime kwa
ajili ya maziko.
Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda (kulia) akiteta jambo na
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, wakati wa shughuli hiyo Viwanja
vya Leaders.
Sehemu ya Wanakamati wa Kamati ya maziko….
Sehemu ya waombolezaji waliojitokeza kumuaga marehemu Nyaisanga, katika Viwanja vya Leaders Club.
Kibanda, akizungumza machache……..
Dkt. Reginald Mengi, akizungumza machache….
Sehemu ya waombolezaji waliojitokeza kumuaga marehemu Nyaisanga, katika Viwanja vya Leaders Club.
Freeman Mbowe, akizungumza machache…..
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akizungumza kutoka salam za rambirambi kwa wafiwa.