KINACHOENDELEA FIESTA VIWANJA VYA LEADERS:H BABA,JUMA NATURE WAMESHA FANYA YAO LEADERS,ANGALIA PICHA
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Juma Kassim 'Sir Nature' akifanya
vitu vyake stejini katika usiku wa Serengeti Fiesta 2013 ndani ya
Leaders Club.
Nyomi ikiitikia shangwe za Nature.
Msanii Jumanne Omar akishuka mistari sambamba na 'Sir Nature' ndani ya Leaders Club.
KR Muller akichana mistari stejini.
TMK Wanaume Halisi kazini.
Msanii
Hamis Baba 'H-Baba' akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Tamasha
la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar es
Salaam.