Azam
TV inataraji kuwa hewani rasmi katikati ya mwezi Novemba na kuzinduliwa
rasmi mwishoni mwa mwezi ujao huku ikianza na Channel zaidi ya 35
Bureee na baada ya uzinduzi mteja atapata Channel 50+ kwa gharama nafuu
ya 12,500/= tu kila mwezi. Azam Tv wanasema wao hawana ubaguzi wateja
wote ni sawa na hakuna package maalum kwa watu maalum.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Rhys Torrington akifafanua mambo kwa
waandishi wa habari mbalimbali waliofanya matembezi katika kituo hicho
kipya cha habari za michezo na burudani kilichopo Tazara jijini Dar es
Salaam kujionea maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya kuanza kutrusha
matangazo yake moja kwa moja. Kwa sasa kituo hicho chenye mkataba wa
kurusha live mechi zote za Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara kinarusha
kupitia Televisheni ya Taifa, TBC.
Ziara
ilinza na hapa C.E.O wa Azam TV, Rhys Torrington aliwatembeza
wadau,akiwemo Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally.
Ndani ya gari hilo kuna mitambo mingi sana.
Wana
habari akiwemo Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally wa
pili kutoka kulia na mtaalam wa Azam TV, Yahaya Mohamed.
Azam TV offerings:
1. Best quality for reasonable/affordable price
2. High volume, low margin
3. Tanzanian Company for Tanzanians
4. Pan - African service based in Tanzania
5. Single bouquet - No rich , poor man packages
6. Facility to record what your watching
7. Electronic programme guide
9. Azam One - African contents, mostly in Swahili
10.Azam Two - International channels from around the world, some will be dubbed in Swahili
11. Sinema Zetu - 24 hours Swahili movies
12. Sporting and non sporting opportunities for live and recorded contents
13. Tabata site - 2 studios by January 2014 for indoor shows/talk show
14.Country wide installers/distributors from cities to small towns
15.Full installation (Dish, decoder & installation fee) for TZS 95,000/= only - This is promotion launch price.
16. 50+- channels for TZS 12,500/= only
17. East African FTA (Free to A air) channels always available, even if you forget to pay subscription.
18. Open door/switch on signal by mid November for 35+ channels for free
19. Official launch before end of November