DIAMOND AILEZEA SIKU YAKE YA KUFA,SOMA ALICHOKISEMA HAPA

Msanii Wa Kizazi Kipya Aliye Juu Kwa Sasa Nje , Barani Afrika Na Nchini Kwa Ujumla "Naseeb Abdul Jumaa"Alimaarufu Kama Diamond Platnumz Amewastua Mashabiki Wake Baada Ya Kupost Picha Kupitia Account Yake Ya Mtandao Wa Kijamii Unaoitwa Instagram Yenye Maneno Yakuhuzunisha Yanayoelezea Siku Yake Ya Kufa Huku Akijiuliza Maswali Mengi,Mistari Hiyo Ilikua Ikisema:-
Vipi Maneke Atanililia...?
Je Wasanii Wezangu Watanikimbia?
Ama Litafunika Jina Langu..?
Na Nyimbo Zangu hawatasikia..?
Vipi Wasafi Watanililia...?
Je ndugu Rafiki Watahudhuria..?
Ama Nitakapo Kufa Sina Changu..?
Hata mama angu Watamkimbia..?

Huku Caption Ya Picha hiyo Yenye Maandishi Ya Mistari Inayoelezea Siku Yake Ya Kufa Iliandikwa:-
"One Of My Song,Always Gets Me Crying Whenever I Listen To It,How I wish You Would Hear It,But Then Again I Have No Clue As To When I Will Release It.....#wcb"

Wakati Huohuo Mashabiki Wengine Wamelichukulia Tofauti Na Hata Wengine Wakimuhusisha Na Imani Tofauti Zikiwemo Za Kifreemason Wengine Wakaita Illuminati.

2brothersBlog Haikuishia katika Instagram Tu Bali Ilijaribu Kufatilia Kwa Undani Je Ni Kweli Ni Nyimbo Au Maneno Yake Tu Lakini Tukabaini Kuwa Ni Nyimbo Ambayo Ipo Kwenye Albam Yake Mpya Na Inawezekana Ikawa Ndo Imebeba Albam Yake Hiyo Mpya Inayokwenda Kwa Jina La"NIKIFA KESHO"

Uthibitisho Huo Umetokana Baada Ya 2brothers Kuzama Katika Website Yake Na Kupita Kwenye Kile Kipengele Kinachoitwa "My Songs" Ambacho Kinahusisha Playlist Ambayo Inanyimbo Zake Zote Ambazo Amewahi Kuzitoa Lakini Ukiangalia Kwenye Nyimbo Alizotoa Hivi Karibuni Sehemu Ya Title Ya Albam Imeandikwa "NIKIFA KESHO" Angalia Picha Ifuatayo:-
NI ALBAMU YAKE MPYA YENYE NYIMBO ALIYOELEZEA JUU YA KIFO CHAKE

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family