Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya
IRAN alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo
Ogast 03-2013 kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi
hiyo Bw. Hassan Rouhan Al-Quds anaetarajiwa kuapishwa kesho baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo Agosti
03-2013 kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw.
Hassan Rouhan Al-Quds anaetarajiwa kuapishwa kesho baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mshauri Maalum wa Waziri wa Mambo ya nje wa Serikali ya
Jamhuri ya Kiislam ya IRAN bw. Mohammad Valulleh kwenye chumba maalum
cha mapumziko VIP katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo
Ogast 03-2013 alipowasili Nchini Irani kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa
kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhani Al-Quds anaetarajiwa
kuapishwa kesho baaada ya kushinda kwenye Uchaguzi Mkuu uliomalizika
hivi karibuni. (Picha na OMR).