NGWAIR KUAGWA LEO KWA MARA YA MWISHO KATIKA VIWANJA VYA JAMHURI,NA BAADAE KUZIKWA MOROGORO
Huu ni uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo wakazi wa mkoa wa Morogoro na
jirani wataweza kuaga mwili wa marehemu Mfalme wa FreeStyle Albert
Mangwair, Kisha kumpeleka kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele