PICHA ZA MATUKIO YA KUAGWA MWILI WA MAREHEMU MANGWAIR DAR HADI MSAFARA ULIPOWASILI MOROGORO

HAKIKA NGWAIR ALIKUWA MTU WA WATU,HUU NDIYO UMATI ULIOJITOKEZA KUMUAGA

msiba_wa_mangweah_05062013_02
Hakika Ngwair alikuwa ni mtu wa watu,hawa wote
 waliacha shughuli zao ili tu angalau wapate fulsa
 ya kuuona mwili wake kwa mara ya mwisho........
msiba_wa_mangweah_05062013_01
msiba_wa_mangweah_05062013_10
msiba_wa_mangweah_05062013_06
Watoa huduma ya kwanza toka chama cha
msalaba mwekundu
 walikuwepo kuhakikisha wanatoa huduma sitahili kwa lolote
 litakalojitokeza kulingana na umati wa watu kuwa mkubwa
IMG_5990

PICHA:BAADHI YA MASTAA WAKIUAGA KWA MARA YA MWISHO MWILI WA ALBERT MANGWAIR



Snura wa majanga akiwa na Doctor cheni
Mwili wa marehem Ngwair ukiwa ndani ya jeneza
tayari kwa taratibu za kuuaga
Kaka mkubwa,pro,Jay akiwa na Mez B,
Member wa kundi  la chamber squad
Madee(kati kati)
Doctor Cheni
Diamond Platnumz
Comedian,Joti
Stamina
Dada Keisha
Izzo Bizness
Producer Maneck
Mwanamziki,Mad Ice
Nyandu Tozzy
Mama wa Monalisa akiwa uso wa huzuni na uchungu
Monalisa
Kalapina
Lord Eyes(mwenye kofia na tshirt yenye mistali)
Member wa kundi la WEUSI,Joh makini
Abdul Kiba
Kulwa Kikumba(Dude)
Ben pol
Akiri the Brain
Mb Doggy
Dark master aliekaa kati kati akiwa na uso uliotawaliwa na huzuni
 na kutoamini kama mtu wake wa karibu hatomuona tena
Ulinzi wa mbwa nao ulihusika.......

 Fid Q 
 Prof,Jay........
Brnaba boy,Mkubwa Fella na Zolla D
Nick mbishi 

ULINZI WAIRISHWA WAKATI WA MAPOKEZI YA MWILI WA ALBERT MANGWEA KIHONDA MOROGORO.

 
 WAKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO NA VITONGJI VYAKE WAKITAKA KUSUKUMA GARI LILILOBEBA JENEZA LENYE MWILI WA ALBERT MANGWEA MARA BAADA YA KUTOLEWA NDANI KWA MAMA YAKE MANGWEA KIHONDA MOROGORO LAKINI NAFASI HIYO HAWAKUWEZA KUIPATA KUTOKANA NA ULINZI ULIOIMARISHWA


MSAFARA WA ALBERT MANGWEA WASTOPISHA MAGARI YAENDAYO MIKOANI KUANZIA MIKESE-MJINI MOROGORO.


 UMATI WA WATU WAKIWA NYUMBANI KWA MANGWEA.
ASKARI AKIONGOZA MSAFARA ULIOBEBA MWILI WA MANGEA MIKESE MKOANI MOROGORO  AMBAPO ULIPOKELWA NA WASANII
 
 

WAKATI MWILI WA MWANGEA UKITARAJIWA KUWASILI MORO WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA MAMA MANGWEA HALI TETE


Mama mzazi wa marehemu Albet Mangwea Bi.Denisia Mangwea akiwa kitandani nyumbani kwake kihonda muda mfupi baada ya kutoka hospital ya mkoa wa Morogoro alikokuwa amelazwa baada ya kuanguka ghafla baada ya kuelezwa kwa
mba mwili wa mwanae ulishindwa kuwasili nchini juzi kama ilivyoripotiwa awali.

Leo audifacejackson blog ulifika tena nyumbani kwa Bi Mkubwa huyo kwa lengo la kumjulia hali ambapo alipohojiwa alidai kwamba bado afya yake haijatengemaa.

Hata hivyo alisema vyovyote itajkavyo kuwa ni lazima ashiriki kikamilifu ibada na mazishi ya mwane kitinda mimba.

 Albaet aliyekufa ghafla nchini Afrika kusini jumanne ya wiki iliyopita.Mwili wa msanii huyo unatarajiwa kuzikwa jirani na kaburi la marehemu baba yake Mzee Keneth Mangwea kwenye makaburi ya Kihonda yaliyopo nje ya kanisa la Mtakatifu Monica Kwa picha za matukio ya mazishi  ya msanii huyo endelea kutembelea mtandao huu.
 
 
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family