Khadija Kopa akiwa na marehem mumewe enzi za uhai wake
Mume wa Malkia wa Mipasho Khadija Koppa
ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mogomeni Bagamoyo kupitia CCM
Jaffar Ali Yusuf amefariki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya
Muhimbili.
Kwa mujibu wa baadhi ya ndugu wa marehemu wamesema ndugu yao huyo alikuwa anaumwa kwa muda mlefu . Hata hivyo ndugu hao
hawakuwa tayari kusema aina ya ugonjwa uliokuwa
unamkabili ndugu yao huyo. Bwana Jaffar
Ali Yusuf alichaguliwa kuwa diwani wa kata ya
Magomeni miezi michache iliyopita baada ya diwani wa alikuwa anaogoza kata hiyo kupitia CCM Abdalah Mshindo
kufariki dunia mwaka jana
Mungu alitoa na Mungu ndiye ametwaa jina lake lihimidiwe
this is diamond inatoa pole kwa Bi Khadija kopa
na familia ya marehem |