Asubuhi
hii ajali mbaya imetokea maeneo ya Ilala Boma na kusababisha kifo cha
abiria huyu ambaye hajatambulika kwa jina mpaka sasa baada ya abiria
kutaka kudandia bahati mbaya akadondoka na kupasuka kichwa na
kusababisha umauti wakeWasamaria wema wakisaidia kumpakia kwenye gari kwa kumpeleka hospitaliniDamu ya marehemu ambayo kwa kiasi kikubwa imetoka kichwani baada ya kupasuka vibayaMwili wa marehemu ukiwa tayari kuondolewa kwenda hospitaliHii ndio daladala ambayo marehemu alikuwa akitaka kudandia na kudondoka kwa bahati mbayaUmati wa watu ukishuhudia ajali maeneo ya Ilala Boma asubuhi hiiAskari wa usalama barabarani akichukua maelezo kwa dereva aliyesababisha ajali.