BREAKING NEWZ:AJALI MBAYA YA BODABODA BUGURUNI TIZAMA HAPA TUKIO ZIMA KATIKA PICHA
Ajali Mbaaya Ya Bodaboda Iliyotokea Maeneo Ya Buguruni Baada Ya BodaBoda Kugongana Uso Kwa Uso Na Gari Aina Ya Rav 4 Kwa Bahati Nzuri Haikuua Mtu Lakini Imemjeruhi Vibaya Dereva Wa BodaBoda.