Tetesi hizo zilizoandikwa na websites za kuaminika za nchini Marekani
zimekuja baada ya staa huyo kusogeza mbele tarehe za ziara yake
Diamonds wiki hii kutokana na kuwa mgonjwa.
Wiki hii Rih mwenye miaka 25, alionekana akienda kuonana na daktari jijini Los Angeles.