PIGO KWA PREZZO!KUMBE MAREHEMU GOLDIE ALIKUA MKE WA MTU!TIZAMA PICHA WAKIWA PAMOJA NA MME WAKE MZUNGU ENZI ZA UHAI WAKE !!


Mwanaume wa kizungu aitwaye Andrew Harvey, anayedai kuwa amemuoa msanii wa muziki nchini Goldie Harvey aliyefariki juzi usiku amejitokeza na kupost picha za ndoa na mahaba wakiwa pamoja.

Andrew alishare picha hizo pia kwenye mtandao wa twitter na kuliambia gazeti la Nigeria Entertainment Today kuwa ana admin access za akaunti za mitandao ya kijamii ya marehemu Goldie.
goldie-his-9
goldie-hus3



goldie-hus-7-600x450
goldie-hus5-

goldie-hus-8-460x345

goldie-wed
goldie-wed-3
goldie-wed-4-460x345
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family