Kiungo
wa timu ya Azam FC, Bolou Kipre (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka
mshambuliaji wa El-Nasir FC ya Sudan ya Kusini, Abdallmelik Sebit katika
mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. (Picha na Dande JR)
Wachezaji
wa Azam FC wakishangilia bao la pili la timu yao lililofungwa na Kipre
Tchetche (katikati) wakati ilipoibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya El
Nasir ya Sudan ya Kusini katika mchezo wa Kombe la Shirikisho
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Jabir Aziz akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa El Nasir FC ya Sudan ya Kusini katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Azam FC, Brian Umomy akiwatoka walinzi wa timu ya El-Nasir FC ya Sudan ya Kusini, Jacob Osuru na Abdallmelik Sebit katika mchezo wa kombe la Shirikisho uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha el Nasir ya Sudan ya Kusini
Kikosi cha Azam FC
Mashabiki wa Azam
PICHA NA SHAFII DAUDA