JENGO LA PPF TOWER LINAUNGUA KWA MOTO MUDA HUU MJINI DAR ES SALAAM

Zima moto likiendelea na kazi
Jengo la PPF kabla halijaungua

JENGO LA PPF TOWER LIKI WAKA MOTO GHOROFA YA JUU KABISA.
Jengo hilo ambalo lipo maku tano ya ohio na garden avenuel lina waka moto mkali katika ghorofa ya juu kabisa.Magari ya zima moto yameweza kufika nazina jitahidi kuangalia namna wanavyoweza kuuzima moto huo.Japo ni vigumu kwao kutokana na eneo linaloungua kua nilajuu na hawana vitendea kazi vya kuwawezesha kufika huko juu na kuuzima moto huo  mkali.


 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family