ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI WAKIWA WAMEFIKISHA MAJERUHI PAMOJA NA WATU WALIO FARIKI HOSPITALINI HAPO
RIPOTI IKIWA INATOLEWA JUU YA AJALI HIYO HUSSEIN KIF
MMOJA YA ABIRIA WALIOKUWEMO KATIKA AJALI HIYO
AJALI
MBAYA IMETOKEA MAPEMA LEO MBALALI AMBAPO LORI LA MIZIGO AINA YA SCANIA
ILIKUWA IMEBEBA WATU ZAIDI YA MIAMBILI (200) AMBAO WALIKUWA WANAELEKEA
KATIKA KITONGOJI KIMOJA CHA MWEKEZAJI .
AJALI
HIYO IMETOKEA BAADA YA LORI HILO LENYE NAMBA ZA USAJILI T 398 BSE
KUANGUKA NA KUSABABISHA WATU 5 KUFARIKI DUNIA NA WENGINE 20 KUJERUHIWA
VIBAYA.
HATA HIVYO MAJERUHI WOTE WANAKIMBIZWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA ILIYOPO MBEYA MJINI MUDA HUU.
HIZI NI TAARIFA ZA AWALI TUU, HABARI NA PICHA ZOTE ZINAKUJA HAPA HAPA
PICHA NA MBEYA YETU BLOG