BREAKING NEWZ!!!MOTO WAZUKA MADUKA YA MWENGE KITUONI...

Kutoka maktaba

Maduka ya mwenge kituoni yanaungua moto sasa hivi, hali bado ni mbaya gari za kuzima moto zinaendelea kuuzima moto huo, na vibaka nao hawako nyuma kuendelea kufanya hualifu wao.
 
Taarifa zaidi tutawaletea baadae.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family