Kitu kikubwa kinachosubiriwa kutoka kwake hivi sasa kazi zake mpya kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Kitu cha kusubiria sio hicho tu bali Ray C Foundation ni kitu kingine kitakacho kuja kutoka kwa Ray C.
Ameshare ujio wa foundation hii kwenye ukurasa wake wa instagram na
kudokeza kwa maneno “Coming soon stay tuned!!!!!” japokuwa hakuweka wazi
kazi ambayo itafanywa na foundation hiyo.