MNENGUAJI KUTOKA BAND YA EXTRA BONGO MWANTUMU ATHUMAN KUZIKWA LEO MBURAHATI JIJINI DAR ES SALAAM

Marehemu Mwantum ( Wa Kwanza Upande Wa Kulia ) Akiwaburudisha Mashabiki Wa Bendi Yake Aliyekua Akifanyia Kazi Inayiojuliklana Kama  Extra Bongo
Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Mwantum Athuman amefariki dunia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kujaa maji. Marehemu Mwantum atazikwa leo saa 10 katika Makaburi ya Mburahati, Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!


 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family