KUMBUKUMBU YA MAREHEMU SHARO MILLIONEA


November 25 2013 usiku ulianza mkesha wa kumbukumbu ya Sharo Milionea ambae ametimiza mwaka mmoja toka afariki dunia kwenye hii ajali ya gari alilokua akiliendesha pia akiwa mwenyewe kutoka Dar es salaam kwenda kwao Tanga.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family