Asanteni wananchi wa Mpanda Mjini. Nawashukuru wananchi wa Mkoa wa
Katavi. Mapokezi yenu na heshima kubwa mliyonipa mimi na ujumbe wangu
imenipa nguvu sana ya kuendelea kufanya siasa za masuala (issues) na
majawabu (solutions). Changamoto za maisha magumu vijijini, ardhi,
mbolea ya ruzuku, zao la tumbaku