Kaburi
la Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya Jumapili
na kuzikwa jana Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya
ya Mkuranga, Mkoani Pwani.
Hamis Kinzasa '20 Percent' akiwa jirani na kaburi la baba yake mzazi Mzee Kinzasa.
Waombolezaji wakiomba dua katika kaburi la Marehemu Mzee Kinzasa.
Nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha Kimanzichana Wilaya ya Mkuranga, Mkoani Pwani.
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye msiba wa baba mzazi wa 20 Percent kwenye kijiji cha Kimanzichana jana mchana.
(Picha na Pamoja Pure Blog)