Magoli ya Yanga yamefungwa na Ngassa kwenye dakika ya 15 na mengine mawili yamefungwa na Kiiza dakika ya 35 na 45 ambapo magoli ya Simba yamefungwa na Mwombeki dakika ya 54, Owino 57 na Kaze 83.
YANGA NA SIMBA ZATOKA DROO,ANGALIA HAPA MATOKEO KAMILI