Ikiwa
imesalia siku moja tu kabla ya zoezi la kubomoa kwa hiari nyumba na
mabanda yaliyopo kando mwa barabara Makete-Njombe eneo la makete mjini,
kamera yetu imenasa picha za muonekano wa eneo la sokoni Makete mjini
kama unavyoona, tayari nyumba zimebomolewa na nyingine zinaendelea
kubomolewa.(Picha hii na Edwin Moshi)