RUFAA YA BABU SEYA,PAPII KOCHA YASIKILIZWA NA HIKI NDICHO KILICHO AMULIWA

Baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam kupitia hoja za mawakili wa serikali na utetezi kwenye Rufaa ya hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wameamua kuhairisha rufaa hiyo mpaka tarehe husika ya kutoa hukumu ya kesi hiyo itakapopangwa hapo baadaye....
Baadhi Ya Picha Hali Ilivyokuwa Mahakamani










 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family