Mwimbaji Rihanna ametakiwa kuondoka katika msikiti mkubwa katika Falme za Kiarabu, baada ya kupiga picha ambazo mamlaka za huko zinasema 'hazifai'. Alikwenda katika msikiti wa Sheikh Zayed Grand, uliopo Abu Dhabi.Baahi Ya Picha Hizo Ni Kama Unazoziona Hapo Chini Na Hiyo Hapo Juu |