Malkia na mfalme wa mastaa Bongo, Wema Sepetu na Diamond Platnumz wakijivinjari nchini China hivi karibuni,Kinachosemakana Sio Reality Bali Ni Movie Inayofanywa huko china Kati Yake Na Diamond.Mashabiki Na Watu MbaliMbali Wameelekea Kutokubaliana Na Swala Hilo Na Wengi Kudai Kuwa Wamerudiana |