Askari
wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani akichukua maelezo katika eneo la
tukio, aliyelala chini ni Huweso baada ya kupata ajali.
...Huweso akiwa amelazwa ndani ya gari tayari kupelekwa hospitali kwa matibabu.
Baadhi
ya waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wakiwa katika eneo la
bandarini ampapo ajali imetokea baada ya gari aina ya Toyota Land
Cruiser kuigonga pikipiki.
Toyota Land Cruiser linalodaiwa kumgonga mwendesha pikipiki aliyetambulika kwa jina moja la Huweso.