Dj Fetty na B12 kutoka XXL ya Clouds FM ndio walihost show
Linah kwa stage!
Ney wa Mitego
Kiukweli hii ni moja ya show zilizovunja rekodi Fiesta 2013 mtu wangu Imagine hapa ni upande wa kulia wa stage… Upande wa kushoto wa stage Shilole kazini Cassim Mganga Makomando walifanya show kali kama kawaida yao na kutamba juu… Kala Jeremih.. Nikki wa II H Baba kazini Rich Mavoko Mr. Blue Young Killer Mwanza Mwanza Quick Rocka Chege na Temba Joh Makini GNako na Joh Makini