Hawa mabinti wawili walikuwa marafiki
wa damu. Inasemekana ugomvi kati yao ulitokea baada ya mabinti hao
kusalitiana na kuchukuliana mpenzi. Chanzo kingine kinasema sio
kweli kwamba walikua wakigombea mpenzi bali mtuhumiwa alimkata mwenzie
usoni na kiwembe kisa alimuita mama yake kahaba.