Mtuhumiwa wa kutoa ushahidi wa uongo wa kumteka aliyekuwa mwenyekiti wa
chama cha madaktari, Dk Steven Ulimboka, Joshua Muhindi akitoka katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana,mara baada ya
kulipiwa faini ya Sh 1,000 ambayo hakuwa nayo ndipo mmoja wa waandishi wa habari alimlipia hela hiyo.PICHA | MICHAEL JAMSON
Na Tausi Ally, Mwananchi