Barcelona leo imefanya kufuru baada ya kuishushia kichapo cha bao 7-0
Levante katika mchezo wao wa kwanza wa La Liga uliopigwa kwenye Uwanja
wa Camp Nou jijini Barcelona nchini Hispania. Mabao ya Barcelona yamewekwa kimiani na
Sanchez dakika ya 3, Messi aliyefunga mabao mawili dakika ya 12 na 42
(penalti), Alves dakika ya 23, Pedro naye kafunga mabao mawili dakika
ya 26 na 73 na Xavi aliyefunga dakika ya 45.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
10 months ago