JUMLA ya watu watatu wamefariki dunia papo hapo na watatu kujeruhiwa
baada ya kuangukiwa na ukuta wa mnara wa tanki la maji uliopo Machomanne
Chake Chake Pemba, leo saa tatu asubuhi.
(Pichani Wananchi
mbalimbali wakiuangalia mnara wa Tangi la Maji Machomanne, ulioanguka na
kupoteza maisha ya wananchi watatu leo asubuhi.
(Picha na Abdi
Suleiman, Pemba)
|