M TO THE P AONGEA,SIKILIZA SAUTI NA TAZAMA PICHA YAKE AKIWA HOSPITALI,NI YULE RAFIKI WA NGWAIR
M2THEP
aongea na millard, anaendelea vizuri, kinachomsumbua ni kifua na
kichwa, auliza ngwea yuko wapi, amesema akiendelea na dawa siku mbili
tatu, atajiskia vizuri sana