Habari kutoka bungeni ni kwamba matokeo yote ya kidato cha nne yamefutwa na yatasahihishwa upya haraka iwezekanavyo..
Taarifa
ya tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza sababu za kufeli vibaya
kwa watahiniwa wa kidato cha nne imesomwa bungeni leo na
mh.LUKUVI.
LUKUVI
amesema sababu zilizosababisha wanafunzi wafeli ni upungufu wa
waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za
sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa na utaratibu mbovu
wa baraza la mitihani uliotumika bila kuwashirikisha wadau wa
elimu
Mh.
LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi
kwa kufuata STANDARDIZATIONS na CONTINOUS ASSESSMENTS. ...
Hivyo basi, matokeo hayo YAMEFUTWA na YATASAHIHISHWA UPYA