NATASHA ALONGA KUHUSU NDOA YAKE INAYOKARIBIA


Akizungumza hivi karibuni katika kituo kimoja cha runinga, Natasha alisema ndoa yake itakuwa ya kawaida ‘simpo’ na zaidi atahakikisha waalikwa wanapata msosi na kunywa vizuri na asiwepo mtu wa kulalamika.

Msanii huyo alizidi kutiririka kuwa, alikuwa akitamani kuolewa sana kwani hakuwahi kupitia hatua hiyo hivyo muda umefika wa kutimiza ahadi ya Mungu kwa binadamu kuzaliana na kuongezeka japokuwa watu wamekuwa wakisema mengi na amewaomba msamaha wote waliokwazwa na uamuzi wake wa kuolewa.

“Nilikaa na familia yangu ikakubali, mjukuu wangu Junior nilipomwambia kuhusu ishu hiyo hakuwa na kipingamizi hivyo siku si nyingi nitaolewa,” alisema Natasha.

a ndoa alikubali na nikaamua kuolewa lakini angekataa, nisingeolewa kwa sababu huyu ndiyo kila kitu kwangu,” alisema Natasha.




 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family