Kama Inavyoonekana Katika Picha Nyumba Inayoelekea Kuisha,Ni Ya Msanii Mwenye Mafanikio Makubwa Na Kujilukana Ndani Na Nje Ya Nchi,Naseeb Abdul Juma Alimaarufu Kama Diamond Platnumz
Picha hii Kwa Hisani Yake Yeye Mwenyewe Niliichukua Baada Ya Kupost Katika Mtandao Wa Kijamii(Instagram)
Hongere Sana Diamond Hayo Ni Moja Ya Maendeleo