Gazeti la New York Daily News
limefanya Exclusive interview na baba mzazi wa mwimbaji staa Chris Brown
na kutoa maoni yake kuhusu mahusiano ya kimapenzi ya mwanae na Rihanna
RiRi.
Clinton
Brown amesema “sioni maisha marefu kwa Chris Brown kuwa na Rihanna,
sijawahi kupendezwa na kurudiana kwao, unajua ni lazima kwenye uhusiano
wa kimapenzi uwe na mtu sahihi ambae ni hitaji la kweli na linaloweza
kuwa lako kwenye maisha, lakini sio kama hivi”
Clinton
amesema hapendi kutumia mifano lakini anadhani watu wameona mahusiano
ya mastaa kama Whitney Houston, Michael Jackson, Amy Winehouse na
wengine”
Kuhusu
mrembo ambae angependa kuona anaolewa na mwanae, Clinton amemtaja
Jordin Sparks kwa kusema “nimempenda Jordin, ni msichana mdogo lakini
mwenye upeo mkubwa… ana akili na heshima”
Chris Brown na Jordan Sparks Wakiperfom Jukwaani |