Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha wajumbe saba wa Tume ya
Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es
Salaam .Wajumbe wa tume hiyo walioapishwa leo ni pamoja na Mwenyekiti
wake Bwana Edrissa Mavura,Paul Herbert Kinemela(Kamishna), Bwana Mathias
Bazi Kabundunguru(Kamishna),Bwana Njaa Ramadhani(Kamishna)Bwana Jones
Kyaruzi Majura(Kamishna), Bwana Jaffari Ally Omari(Kamishna) na Bibi
Suzane Charles Ndomba.Pichani ni wajumbe wa tume hiyo wakiwa katika
picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya
kuwaapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wanne kushoto ni Mwenyekiti wa
Tume hiyo Bwana Edrissa Mavura.(Picha na Freddy Maro).
TRA Iringa yawashukuru walipa kodi wake
8 hours ago