SHAA KUENDELEA NA STYLE YAKE YA MUZIKI WA SUGUA GAGA KWA MWAKA 2015 KWA KUWA UNAMPA FAIDA

Shaa sugua gaga
Mwimbaji Shaa amesema kuwa baada ya ‘Sugua Gaga’ kufanikiwa kumtambulisha kimataifa mwaka jana (2014), ana mpango wa kuendelea kufanya nyimbo za aina hiyo mwaka huu.Shaa ambaye video ya Sugua Gaga ilifanikiwa kuwa video ya msanii wa Tanzania iliyotazamwa zaidi mwaka jana kwenye mtandao wa Youtube, amekiri kuwa hakutarajia mafanikio hayo wakati anautoa wimbo huo. Ameongeza kuwa wasanii wengi wa Afrika Mashariki wamemshauri anedelee
“Mwaka jana kweli nilivyotoa Sugua Gaga na Subira nilikuwa nikiangalia zaidi soko la hapa nyumbani, sikutegemea kwamba muziki huo huo unaweza akanivukisha boda, ni mara yangu ya kwanza kufanya single yangu kubwa
ambayo imewahi kupata hits zaidi ya milioni 15 kwenye Youtube, ndio video iliyotazamwa zaidi kwa mwaka jana 2014.”Shaa aliiambia E-Newz ya EATV.kufanya muziki wa aina hiyo.
 
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family