Mengi yamesikika kuhusiana na mapenzi ya Chris Brown na Karrueche Tran huku uhusiano wao ikisemekana kufikia mwishoni kabla ya kuumaliza mwaka 2014.
Video ambayo Chris ameiachia jana January 22 huenda ikakupa maswali mapya, uhusiano wao wa kimapenzi upo ama umekwisha kweli?
Nakukaribisha kuicheki hii video ya mkali huyo aliyemshirikisha Kendrick Lamar na video akicheza Karrueche inaitwa “Autumn Leaves‘.
|