UMEWAHI KUIONA NYUMBA YA KIFAHARI ANAYOMILIKI MSHINDI WA BIG BROTHER 2014, IDRIS SULTAN? HEBU ICHEKI HAPA

Idris 1 house
Ni mshindi wa Big brother Africa 2014 Idris Sultan ambae anaendeleza matunda ya ushindi wake wa BBA na sasa kajipatia nyumba yake ya kuishi ambayo pamoja na mengine ina sebule mbili na anatarajia kuanza kuishi kwenye nyumba hii kuanzia Jumapili January 25 2015.

Idris 2 house
Nyumba ipo Mbezi Beach Dar es salaam.

 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family