Mchezo unaopendwa zaidi ya michezo mingine Marekani ni Basketball, ni kawaida kukutana na mastaa kama Jay Z na Beyonce wake, Kanye West na Kim Kadarshian wake, Lil Wayne, Floyd Mayweather, 50 Cent na wengineo wakijienjoy kuangalia mchezo huu.
Hapa nimekuwekea hii list ya mastaa ambao wameshasign kupokea pesa nyingi zaidi kwa mwaka 2015 Marekani!
|
No. 5: Carmelo Anthony, anaingiza dola 30.5 ( bil. 55 Tshs), mshahara wake ni dola mil. 22 anaolipwa New York Knicks nyingine ni kutokana na biashara nyingine |
No.6: Dwyane Wade, anaingiza dola mil 27 kutokana na mshahara wake Miami Heat pamoja na madili mengine. |