LIST YA WASANII WATAKAOTUMBUIZA KATIKA TUZO ZA CHANNEL O (CHOAMVA) NOVEMBER 29


 CHOAMVA-FEVER-620x346
Kituo cha runinga cha Channel O kimetangaza majina ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za Channel O, #CHOAMVA14.

Tuzo hizo zitafanyika kwenye ukumbi wa Nasrec Expo Centrem, Soweto nchini Afrika Kusini, Jumamosi ya November 29.

Wasanii watakaotumbuiza ni pamoja na Davido, Cassper Nyovest, K.O, AKA, Kwesta, Patoranking, Bucie, Riky Rick, Olamide na DJ Dimplez.

Diamond anawania vipengele vinne kwenye tuzo hizo.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family