Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square leo Nov.18 wanatimiza umri wa miaka 33, na katika kusherehekea siku yao ya kuzaliwa ambayo inaenda pamoja na maadhimisho ya ndoa ya Peter, mapacha hao wametoa video ya single yao ‘Shekini’ ambayo inapatikana katika album yao ya sita ‘Double Trouble’. Video hii imeongozwa na director maarufu wa Nigeria Clarence
Peters.
Peters.