Golikipa wa timu ya Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni
mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akikabidhiwa
mkataba kutoka kwa Mwanasheria wa NSSF, Chedrick Komba kuwa Balozi rasmi wa Shirika hilo katika Huduma Mbalimbali
zitolewazo na NSSF.
Golikipa wa Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni
mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akisaini
mkataba wa kuwa balozi wa NSSF katika huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika
hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori na
Kulia ni Mwanasheria wa NSSF, Chieldric Komba.