Msemaji wa kampuni ya Weusi, Nick wa Pili amewataka mashabiki wao kuendelea kuwa na subiri kuhusu taarifa rasmi ya lini Lord Eyez atarejea tena akiwa chini ya kampuni hiyo. Nick alikuwa akiongea na Bongo5 na kusema: Akirudi tutatoa taarifa bado hatujatoa taarifa rasmi. Kwahiyo sasa hivi hakuna tamko lolote. Kama tuliweza kutoa tangelo la kumsimamisha basi tutatoa tangazo la kumrudisha. Kwahiyo kuweni wapole kidogo, mambo ya kikampuni huwezi kuyatoa bila utaratibu.”
ZNZ Heroes yapokellewa Unguja na Waziri kuelekea Ikulu
45 minutes ago