JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA
YA UJENZI
WAKALA
WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)
Telegrams TEMESA DSM S.L.P 70704
Simu:
+255-22-2862796/97
DAR ES
SALAAM
Fax: +255-22-2865835
TANZANIA
TAARIFA
KWA UMMA
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye
matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia leo.
Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV. Magogoni
pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.
Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu
TEMESA